Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,086 Reaction score 8,423 Mar 13, 2015 #2 Huyu jamaa alieua alitaka kichwa ama meno?
Pastor Achachanda JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 3,023 Reaction score 1,317 Mar 13, 2015 #3 Kinena
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,114 Mar 13, 2015 Thread starter #4 Pastor Achachanda said: Kinena Click to expand... Naamini ulimaanisha Kinana Pastor Achachanda Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Pastor Achachanda JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 3,023 Reaction score 1,317 Mar 13, 2015 #5 mshana jr said: Naamini ulimaanisha Kinana Pastor Achachanda Click to expand... Ni kweli kamando wangu yaani hizi simu za kudonoa zina kazi sana Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mshana jr said: Naamini ulimaanisha Kinana Pastor Achachanda Click to expand... Ni kweli kamando wangu yaani hizi simu za kudonoa zina kazi sana
Wapoti JF-Expert Member Joined Aug 28, 2013 Posts 2,824 Reaction score 1,100 Mar 13, 2015 #6 nahisi alistukiwa akifanya ujangili huo naona kama shoka limezama tayari kwa kung'oa pembe
Kunta Kinte JF-Expert Member Joined May 18, 2009 Posts 3,690 Reaction score 1,294 Mar 13, 2015 #7 Jerrymsigwa said: Huyu jamaa alieua alitaka kichwa ama meno? Click to expand... Hakuwahi kufikia alichokuwa anataka!!
Jerrymsigwa said: Huyu jamaa alieua alitaka kichwa ama meno? Click to expand... Hakuwahi kufikia alichokuwa anataka!!
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,114 Mar 13, 2015 Thread starter #8 Wapoti said: nahisi alistukiwa akifanya ujangili huo naona kama shoka limezama tayari kwa kung'oa pembe Click to expand... Kunta Kinte said: Hakuwahi kufikia alichokuwa anataka!! Click to expand... Lakini ameshampotezea uhai
Wapoti said: nahisi alistukiwa akifanya ujangili huo naona kama shoka limezama tayari kwa kung'oa pembe Click to expand... Kunta Kinte said: Hakuwahi kufikia alichokuwa anataka!! Click to expand... Lakini ameshampotezea uhai
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Mar 13, 2015 #9 Watakapo maliza mhula wao na ndovu nao watakuwa wamebaki wanne