Na ajitokeze hadharani.....! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Na ajitokeze hadharani.....!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Loli, Oct 21, 2012.

 1. L

  Loli Senior Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 178
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Katika hali ninayoiyona, SISI SOTE NI NDUGU, si vizuri kwa Mkristu kumbagua Muislam, wala muislam kumbagua mkristu, Ivi nani ajitokeze HADHARANI au anyoshe kidole na kusema ktk UKOO wake wooote hakuna Mwingiliano wa DINI hizi mbili. Mi ntampa sh 100. Na wengine wanawaita Wakristu makafr pengine MAMA yake mzazi au BABA ni Kafr. Ifike mahali tuseme Bhaaaaasss! Mambo hayo tuwaachie NCHI zenye DINI. Sisi tuishi kwa AMANI na UPENDO. Nawatakia siku njema. Asalam Alaykum, Bwana asifiwe......!!
   
Loading...