Rjohn JF-Expert Member Joined Feb 28, 2012 Posts 613 Reaction score 130 Jun 23, 2014 #1 habari! wapendwa! naomba kujuzwa bei ya simu aina hyo (ASHA 303) , Kuna jamaa yangu huko kijijini anataka nimnunulie ila bei sijui, na pia sijua kama ni nzuri kwa internet au lah! nawaombeni anayejua anijuze ndugu zangu
habari! wapendwa! naomba kujuzwa bei ya simu aina hyo (ASHA 303) , Kuna jamaa yangu huko kijijini anataka nimnunulie ila bei sijui, na pia sijua kama ni nzuri kwa internet au lah! nawaombeni anayejua anijuze ndugu zangu