N. Korea vows 'merciless' war against US

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,004
Reaction score
142,426
Wale magwiji wa propaganda wamekuja na ingine tena.

Kwa kweli hawa jamaa huwa wananifurahisha sana na hizi biti zao.

Wapo kama mbwa koko vile. Kubweka kwingi lakini hawana ukali wowote.


http://goo.gl/vpur6w
 
Mkuu, sometimes hata uwe gangwe, na mwenye nguvu, unaweza ukashinda vita lakini kajamaa kakakubinyake*nde hadi ukapoteza uzazi baada ya hapo

Hivi vikorea ni vya kuvipa kubwa moja tu, au kukachukua kale kakiongozi kao kama walivyofanya kwa Ortega yaishe
 

Halafu kijamaa kitemi sana aisee. Eti kimepiga marufuku Wakorea wengine kuwa na jina kama lake.

Ila kwa kweli sielewi inakuwaje kijitu kimoja kinakuwa na nguvu kubwa namna hiyo. Hata Mugabe ni dikteta lakini hajapiga marufuku Wazimbabwe wengine kuitwa 'Robert' au kuitwa 'Mugabe'.

Natamani siku moja kije kukamatwa kama alivyokamatwa Saddam au Gadaffi.

Hivi unajua dingi yake na huyu dogo alipofariki alibebwa na gari la Kimarekani? Pamoja na kujifanya wanaichukia sana Marekani lakini kumbe wanapenda vitu vyake.

Mwili wa dingi yake ulibebwa na Lincoln Continental ya miaka ya 70.



Pia inasemekana hiyo gari iliubeba pia mwili wa babu yake, Kim Il Sung, mwaka 1994.

Source
 
Dah kuna nchi zinajua sana kupiga propaganda....

Halafu kijamaa kitemi sana aisee. Eti kimepiga marufuku Wakorea wengine kuwa na jina kama lake

Hii nilikuwa sijaisikia .... na watu hakuna kulalamika?
 
Dah kuna nchi zinajua sana kupiga propaganda....

North Korea hana mpinzani kwenye propaganda.

Hii nilikuwa sijaisikia .... na watu hakuna kulalamika?

Walalamike hawajipendi? Hahahaa....wale watu wanaishi kama mifugo.

Bofya hapo uisome hiyo habari ambayo ilikupita: North Korea has decreed that no one else can have a name that is similar to the name of their dictator Kim Jong-un, and those that have the name Jong-un must get a new name.

Halafu cheki wanavyomhusudu....yaani full vituko!!

 
Last edited by a moderator:

Starting in the 1970s, the decree was broadened to people with same names as the ruler's parents including Kim Jong-il's mother Kim Jong-sook and Kim Il-sung's mother Kang Ban-suk.

Duniani kuna watu wana "Nyota" Kali sana
 

Kim Jong Un said that America does not have the 'monopoly' on nuclear weapons, adding that: 'The U.S. is seriously mistaken if it thinks its mainland is safe.'


Kim Jong-Un has told North Korea's military to prepare for war against the United States, saying he wants 'to tear to pieces the Stars and Stripes'.

He also said that America does not have a 'monopoly' on nuclear weapons, adding: 'The U.S. is seriously mistaken if it thinks its mainland is safe.'

The comments were made yesterday after America and South Korea held joint military exercises before announcing another eight-week operation due to take place from Monday.

Operation Foal Eagle will involve around 200,000 South Korean troops and another 3,700 U.S. personnel, spread over land, sea and air.

North Korea has also recently stepped up its own ground, air and naval drills, as tensions continue to rise on the fraught peninsula.

KCNA, the country's state news agency, said: 'The DPRK will wage a merciless sacred war against the U.S. now that the latter has chosen confrontation.

'The prevailing situation where a great war for national reunification is at hand requires all the KPA (Korean People's Army) units to become (elite) Guard Units fully prepared for war politically and ideologically, in military technique and materially.'

Kim hit out on the same day the U.S. moved a step closer to imposing new sanctions on North Korea's banks, blocking their access to hard cash.

The bill also has that ability to sanction North Korea officials over dire human rights abuses and individuals who facilitate cyberattacks on the U.S.

The new legislation is partly in response to demands for tougher measures over Pyongyang's nuclear programme and the alleged hack of Sony Pictures last year.

The Obama administration last month blacklisted additional North Korean officials in response to the Sony hack,aimed at reducing the country's income from illegal weapon sales.

Last week a U.N. panel investigating how North Korea avoids sanctions reported that one shipping company caught trying to smuggle jets and missiles from Cub had simply renamed its vessels, suggesting that the new sanctions may not be entirely effective.

http://goo.gl/x7jTCC
 
  • Dictator Kim Jong Un threatened 'to tear to pieces the Stars and Stripes'

Hicho kijamaa kinajua sana kuchimba biti.

Na hizo biti tumeshazizoea na wengine huwa zinatuchekesha sana.

Ni bora angejikita katika kuboresha maisha ya watu wake ikiwemo kuwapa uhuru wa kuona na kujua yanayoendelea nje ya hiyo nchi.

Hao watu wanaishi kama kuku wa kufugwa. Wanatia huruma. Wamechotwa akili.

Sielewi kwa nini mamiioni ya watu waweze kuchotwa akili na familia moja namna hiyo.

Halafu eti jina rasmi la hiyo nchi ni DPRK (Democratic People's Republic of Korea).

Hivi wanafanyaga hata chaguzi hao watu?

Vichekesho!!
 


Wanawake jeshini wanalia kwa kumtaka, hawa sio wa kuwaambia mambo kama hayo.

 
Huyu jamaa ana mikwara tu kama baba yake, sio mara ya kwanza naskia North Korea inamtishia Marekani but each time sijawahi kuona action
 
Yani hao wanaishi kipekee asee kwanza hawanaga mitandao ya kijamii yaani kama makuku vilee...dah
Hio nchi sioo sioooo kabisaa....
 
Hiyo dogo Kim Jong Un huenda akawa mlevi, akishalewa NDIPO anaanza kutoka hotuba akiwa bwii.

Vv
 
Huyu jamaa ana mikwara tu kama baba yake, sio mara ya kwanza naskia North Korea inamtishia Marekani but each time sijawahi kuona action
Kinachoshangaza ni Marekani kuwaacha waendelee na mikwara yao, kwanini asiwaswage kama Saddam?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…