Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 8,328
- 28,563
Ungejibu hoja bila kuingiza chuo kingine ingependeza zaidi ...Mkuu ulitaka kiweje ndio kiwe kikuu??
Kama sekondari ya mazengo imeweA kuwa chuo why NIT
NIT kuna degree 12 na diploma zaidi ya 15 na Masters science 1 na masters ya kawaida 1 na pia kuna Postigraduate diploma zaid ya 5.
Karibu NIT
Kuchukua mapungufu ya chuo kimoja ili yahalalishe mapungufu ya chuo chako si vyema maana kila mnyonge ana mnyonge wake
Ulivyomuelewesha ilitosha kabisa