N.I.T washindwa kutoa vyeti vya degree

N.I.T washindwa kutoa vyeti vya degree

Mamndenyi

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
44,689
Reaction score
64,709
Salamu sana wana bodi.

Ninaleta huu uzi Kwa masikitiko makubwa. Vijana wamehitimu degree yao Chuo cha usafirishaji cha taifa tokea mwaka jana mwezi wa nane.

Kipindi chote hiki kimekuwa ni cha kwenda rudi kutaka transcript au vyeti. Kila RAIA anajuwa baada ya Chuo ni hatua nyingine aidha ya kutafuta ajira au ya kuendelea na masomo. Hii ni tofauti na hiki Chuo

Hatujui ni nini kimetokea mpaka vyeti vimeshindikana kutolewa.

Mahafali yamefanyika January hii. Tena ni mahafali ya kivivu mno. Tumezoea kuona kila mhitimu akiitwa Mbele kwa jina kushikwa mkono wa hongera. Hiki Chuo kiliita majina Kwa mafungu. Hamkuwatendea haki watoto wetu. Huu ni uvivu au kukwepa wajibu. Joho limekodiwa Kwa elfu hamsini halafu mnaita watoto Kwa mafungu sikuipenda hii.

Kila mtanzania anatakiwa kwenda na kasi ya Rais wetu mpendwa ya Tanzania ya Viwanda. Jipangeni.

Ndimi Mzazi.
 
Ni

NIT Ni Chuo kikuu ? Ninashngaa Sana kuiba degree zinatolewa kila mahali kama njugu? Hii SI kile Chuo nilisikia walimu wanataka ngono ili kufaulisha? Leo mnataka tena degree? Mkipewa mnaipeleka wapi? Soko pa ajira haliko hivyo kwa awamu hii.asubuhi njema
 
Endelea kusubiri mzazi, cheti ni haki yake atapewa tu, nadhani wanautaratibu wa mwaka mzima ndio watoe vyeti
 
Salamu sana wana bodi.

Ninaleta huu uzi Kwa masikitiko makubwa. Vijana wamehitimu degree yao Chuo cha usafirishaji cha taifa tokea mwaka jana mwezi wa nane.

Kipindi chote hiki kimekuwa ni cha kwenda rudi kutaka transcript au vyeti. Kila RAIA anajuwa baada ya Chuo ni hatua nyingine aidha ya kutafuta ajira au ya kuendelea na masomo. Hii ni tofauti na hiki Chuo

Hatujui ni nini kimetokea mpaka vyeti vimeshindikana kutolewa.

Mahafali yamefanyika January hii. Tena ni mahafali ya kivivu mno. Tumezoea kuona kila mhitimu akiitwa Mbele kwa jina kushikwa mkono wa hongera. Hiki Chuo kiliita majina Kwa mafungu. Hamkuwatendea haki watoto wetu. Huu ni uvivu au kukwepa wajibu. Joho limekodiwa Kwa elfu hamsini halafu mnaita watoto Kwa mafungu sikuipenda hii.

Kila mtanzania anatakiwa kwenda na kasi ya Rais wetu mpendwa ya Tanzania ya Viwanda. Jipangeni.

Ndimi Mzazi.
Umeanza vizur lakin mwisho umezingua
 
Paragraph ya mwisho umeandika madudu, pambaneni na hali yenu.
 
Km kila mtoto akiitwa jina na kupewa mkono si mtakesha hapo!
Chukulia mfano wapo graduates 1000 inawezekana wote wakaitwa majina?

Nakumbuka sisi tuliitwa kwa mafungu kutokana na course husika wote tukasimama kwa pamoja, biashara ikaisha.

Walioenda no wale best students tu. Ila labda utaratibu wa hicho chuo uko hivyo lkn sio rahisi kila mtu kutajwa jina.
 
Hakuna cha ajabu hapo. Hao wamegraduate juzi tu, kwa "technology zetu" inachukua muda kutengeneza vyeti japokuwa wengine wanachelewa sana. Karibu vyuo vingi ndo wanavyofanya. Transcript huwahi zaidi. Lakini enzi hizi za digital technology ningetarajia kuona improvement kwenye utoaji wa vyeti.

Hiyo graduation style ndo inatawala vyuo sasa kwani wanafunzi ni wengi labda wale wa PhD-nao itafika wakati watapewa kwa makundi. Nakumbuka Danmark chuo kimoja hawana graduu. Ukimaliza unaambiwa njoo kesho kutwa uchukue gamba lako.
 
Km kila mtoto akiitwa jina na kupewa mkono si mtakesha hapo!
Chukulia mfano wapo graduates 1000 inawezekana wote wakaitwa majina?
Nakumbuka sisi tuliitwa kwa mafungu kutokana na course husika wote tukasimama kwa pamoja, biashara ikaisha.
Walioenda no wale best students tu. Ila labda utaratibu wa hicho chuo uko hivyo lkn sio rahisi kila mtu kutajwa jina.
Naam, utaratibu uko hivyo. Ila suala kubwa ni kucheleweshwa kwa vyeti. Hii haipendezi hata kidogo!
 
Mbona mapema sana vyuo vingine vyet vinatoka baada ya mwaka mmoja mfano chuo nilichosoma, subiri wamegraduate juzi tu leo unaataka cheti
 
Huu ni uzi wa pili wa huyu mama naona anazungumza kuhusu NIT. Uzi wa wa mara ya kwanza ulizungumza jinsi ulivyomsomesha binti yako kwa shida baada ya kutengana na baba yake. Pia ukatulika tujumuike katika sherehe ya binti yako.

Mama naomba ujue mambo haya.

Wanàfunzi walimaliza masomo toka September. Shughuli nyingine ziliendelea kama mambo ya research presentation na mengine. Pia ikasubiriwa hadi matokeo yalipotoka ili kuruhusu watú wenye suplimentary warudie mitihani ili nao wapate nafasi either ya kuendelea na masomo au kumaliza chuo.

Baada ya shughuli hizo kuisha mahafal ilitangazwa kuwa itakuwa tar. 13 JAN na kweli ikafanyika.

Hoja. 1 ulitgemea kuwa siku ya graduation wagawe vyeti. Haya ni mawazo hasi. Hakuna chuo kinatoa vyeti siku ya graduation. Labda kama wanaviprint wao kwa manila kadi. Ila kama ni cheti progressional na kina security basi sahau kupata siku hiyo

Hoja. 2 Kushikwa mikono.
Nadhani kama ulihudhuria mahafali utakuwa ulipew kitabu cha muongozo. Bila shaka uliona idadi ya wahitimu. Kwa uelewa wako je ni rahisi kumuita jina muhitimu mmoja mmoja???
Na ingekuwa hvyo basi mahafar yangefanyika siku 3

Na pia kama ungetaka mkono wa hongera basi jua sikubili kabla ya mahafali kulikuwa na CONVOCATION.
Wahitimu wote waliofanya Vizuri walishikwa mmkono na kupewa zawadi na wenhine kupewa ajira kabisa

Ukienda vyuo vingi tu Tanzania. Joho linakodiwa kwa elfu 70. Na hakuna mtu anaitwa jina labda awe best student

Labda tu niseme. Nikiunganisha Nyuzi zako hizi mbili napata kujua Ni jinsi gani ulikuwa na Shahuku na tukio hili. Pia kuna mawazo ulijijengea ambayo hayaendani na uhalisia. Nadhani hujawai tembelea mahàfal ya chuo chochote hivyo si rahisi kujua nn kinafanyika.

Anyways. Niishie hapo.

Ila kwa upande wa Transcript zímeanza kutolewa. So muambie mwanao akaweke order iandàliwe ukachukue.

Na kuhusu vyeti I guess ni kuanzia April.

Kumbuka yale majina uliyo yaona kwenye kitabu cha mahafali ndio yanatumika kutengeneza vyeti. Sasa sijui ulitaka vyeti vitengenezwe lini.
 
Ni NIT Ni Chuo kikuu ? Ninashngaa Sana kuiba degree zinatolewa kila mahali kama njugu? Hii SI kile Chuo nilisikia walimu wanataka ngono ili kufaulisha? Leo mnataka tena degree? Mkipewa mnaipeleka wapi? Soko pa ajira haliko hivyo kwa awamu hii.asubuhi njema
Mkuu ulitaka kiweje ndio kiwe kikuu??
Kama sekondari ya mazengo imeweA kuwa chuo why NIT
NIT kuna degree 12 na diploma zaidi ya 15 na Masters science 1 na masters ya kawaida 1 na pia kuna Postigraduate diploma zaid ya 5.
Karibu NIT
 
Km kila mtoto akiitwa jina na kupewa mkono si mtakesha hapo!
Chukulia mfano wapo graduates 1000 inawezekana wote wakaitwa majina?

Nakumbuka sisi tuliitwa kwa mafungu kutokana na course husika wote tukasimama kwa pamoja, biashara ikaisha.

Walioenda no wale best students tu. Ila labda utaratibu wa hicho chuo uko hivyo lkn sio rahisi kila mtu kutajwa jina.
Sure. Uko sahihi sana
 
W
Salamu sana wana bodi.

Ninaleta huu uzi Kwa masikitiko makubwa. Vijana wamehitimu degree yao Chuo cha usafirishaji cha taifa tokea mwaka jana mwezi wa nane.

Kipindi chote hiki kimekuwa ni cha kwenda rudi kutaka transcript au vyeti. Kila RAIA anajuwa baada ya Chuo ni hatua nyingine aidha ya kutafuta ajira au ya kuendelea na masomo. Hii ni tofauti na hiki Chuo

Hatujui ni nini kimetokea mpaka vyeti vimeshindikana kutolewa.

Mahafali yamefanyika January hii. Tena ni mahafali ya kivivu mno. Tumezoea kuona kila mhitimu akiitwa Mbele kwa jina kushikwa mkono wa hongera. Hiki Chuo kiliita majina Kwa mafungu. Hamkuwatendea haki watoto wetu. Huu ni uvivu au kukwepa wajibu. Joho limekodiwa Kwa elfu hamsini halafu mnaita watoto Kwa mafungu sikuipenda hii.

Kila mtanzania anatakiwa kwenda na kasi ya Rais wetu mpendwa ya Tanzania ya Viwanda. Jipangeni.

Ndimi Mzazi.
We mama graduation sio kigezo cha uelewa/ufaulu. Graduation pekee niliyoshiriki katika career yangu ni ya sekondari ... lakini haimaanishi mimi sio kichwa. Maana graduu za chuo zikifaanyika mi nlikuwa napiga kazi...

Binti yangu kafanya graduation kuanzia nursery school

Hapa siungi mkono vijana kutopewa magamba yao ila napinga kusema eti graduu ilikuwa ya kichovu.
 
Back
Top Bottom