Mzuri ni yupi...?

TONY MTAKAYOTE

Senior Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
150
Reaction score
69
Dukuduku langu ni kwamba mpenzi mzuri anapatikana wapi..?
SHULENI/CHUONI
KANISANI/MSIKITINI
WRONG NUMBER
BAR/CLUB
MTAANI
SOCIAL NETWORKS Kama vile jf au fb.
MAGAZETINI
KWINGINEKO....?
Maoni yenu jamani..
Nataka kuanza kutafuta ila cjui nitatafutia wapi.....
 
mchumba mzuri ni yule anayemuogopa mungu na kupenda ibada haijaalishi wapi unaweza mpata popote katika izo ispokua apo kwenye social network ndo sina uhakika
 
TONY MTAKAYOTE sehemu zote ulizozitaja unaweza ukapata mpenzi lakini unapokuja kwa swala la mke baadhi ya sehemu hazitafaa wewe kupata mke huko kwani huwezi ukaoa mwanamke yeyote ila kama ni mpenzi basi mwanamke yeyote anaweza akawa mpenzi wako
 
Last edited by a moderator:
Kwenye vigodoro.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hao wote ni wazuri… Kikubwa unataka wa aina gani? Unataka wa kuwa katika mahusiano walau mda mrefu? (Then wa Chuoni/kanisani/msikitini wanafaa kabisa).

Unataka wa kuflirt nae then mkafaraguane na kila mtu ashike zake? (Then wa Bar, wa wrong number ama social networks ni poa kabisa).

Unataka wa profile ya juu? Aidha sababu upo hapo ama unaona wastahili wa hivo? (Then magazetini ni pouwa pia).

Kila mahala panafaa kupata mpenzi… Suala ni mhusika kujua ni mpenzi wa aina ipi anahitaji ama kustahili kwa wakati huo anaotafuta.
 
Ukiwa unawaheshimu wazazi wako lazima mwenyezi mungu atakupa mke mzuri tu :A S shade:Hio ndo siri kijana, kama huheshimu wazazi wako...lazima utapata mke asiye kuheshimu, na watoto utapata wasio kuheshimu.Nadhani ujumbe umefika, na omba sana madua kwa mwenyezi mungu akupe mke mzuri, lakini cha kwanza ni kumuomba Mungu kwa sana na kuwaheshimu sana wazazi wako kabla ya yote, ndo utafanikiwa. :A S thumbs_up:
 
Yaani wewe hata ilo limekushinda..

Kijana" MAMBO MAZURI YOTE HUWA YANAPATIKANA BAR"

Huyo wa bar ndo mwenyewe kabisa wengine longo longo
 

kumbe wa social networks mfano JF ni wa kuflirt nae then mkafaraguane na kila mtu ashike zake, afadhali umenistua.
 

Ni ngumu kufahamu yupi anafaa kwa sababu mtu huyohuyo mmoja anaweza akawa muhudhuriaji mzuri wa sehemu tofautitofauti.
Kwa mfano dada Rehema ni muhudhuriaji mzuri sana wa Club na pia ni muhudhuriaji wa kuridhisha kwenye nyumba ya ibada. Sasa ikitokea nimekutana na Rehema club na nikaamua kuishi nae Rehema atanionyesha true color(colour) zake na tutaishi ki-club-club. Lakini Rehema huyohuyo ningekutana nae kwenye nyumba ya ibada, tunge-pretend na tungeishi maisha tofauti kabisa.
 
mwanamke mzuri hupatikana MOYONI kwako (moyoni kwa mwanaume).
 
TONY MTAKAYOTE sehemu zote ulizozitaja unaweza ukapata mpenzi lakini unapokuja kwa swala la mke baadhi ya sehemu hazitafaa wewe kupata mke huko kwani huwezi ukaoa mwanamke yeyote ila kama ni mpenzi basi mwanamke yeyote anaweza akawa mpenzi wako

Hii post ilikuwa ya kufungia uzi.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…