Mzunguko wa hela umekuwa shida sana mitaani

Mzunguko wa hela umekuwa shida sana mitaani

Ndugu zangu mzunguko wa hela umekuwa shida sana kwa sasa mitaani. Kwa kweli fedha hakuna kila mtu ni kulalamika tu. Leo nimefika Benki fulani kwanza nimemkuta Meneja hana raha kabisa kisa anasema watu wanaofanya shughuli na Benki hawapo. Nimekuta watu wachache wa kuhesabu tu.

Kweli kuna tatizo. Kwa upande wa usafiri ndo usiseme. Wengi wamesimamisha mabus yao kwa sababu ya ukosefu wa abiria. Juzi nilipanda Bus kwa kawaida kampuni hiyo ya mabus ilikuwa inajaza kwelikweli.

Juzi tumesafiri kwenye Bus hilo abiriai 15 mpaka mwisho wa safari. Kuna tatizo. Tunaiomba Serikali ifanye utafiti juu ya matatizo haya na ije na jawabu ya kurekebisha matatizo haya.
Umeongea kwa uchungu sana ila wenzio watakuita mchochezi pia sio mzalendo.
Tulishauri sana humu jamiiforums, tukaitwa chadema mara hatumpendi magufuli n.k
KIUFUPI NCHI IMEKWAMA NA WASHAURI WA RAIS WANAZIDI KUMDANGANYA NA KUMPOTOSHA KILA KUKICHA. WAO WANALINDA VYEO VYAO NA MATUMBO YA KWA KUMSIFIA RAIS BILA KUMWAMBIA UKWELI HAWAJUI NI KIASI GANI WATANZANIA MAELFU WANATESEKA HUKU MTAANI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mm najuta kumpigia chiwe kura yaani kiongozi ambae anaona kunyoosha wananchi wake ndo sifa ya msingi.
 
Waziri Mpango should be courageous enough to say the truth about the sorry state of the economy that has been occasioned by JIWE'S erratic policy directives!!! Jiwe is wrong to believe that he knows everything , let the professionals guide him in the policies the country adopts. Unaharibu nchi yetu ona sasa mpaka condoms za bei ya chini zimeadimika ; dawa za HIV wafadhili wamepunguza kuleta halafu unasema unatetea wanyonge huku unawaua kimya kimya!!!
 
Labda tulipwe mishahara kwa WEEK na FAO LA KUJITOA lirudi..Hela zitarudi kwa wananchi..Na Tumuue Shetani mpinzani wa Mungu tuziangushe dola zake Ambazo zinajali vitu kuliko watu.Hapo tutapona..Nje na hapo tuache maandiko yatimie ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni ukweli ,wengi wamepaki gari zao(daladala)
Ni nwenyewe nimepaki naangalia barabara nyingine,[emoji4][emoji53]labda hesabu itaeleweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba watu hawasafiri mabasi yamepaki[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].

Vipi kanisani na hospitalini nako waumini na wagonjwa mahudhurio yao yanridhisha??

Watu waningiza basi mpya kila leo,daladala mpya zinapewa usajili kila siku,kwanini hufikirii zimekuwa nyingi kuliko wateja!!!
 
Ndugu zangu mzunguko wa hela umekuwa shida sana kwa sasa mitaani. Kwa kweli fedha hakuna kila mtu ni kulalamika tu. Leo nimefika Benki fulani kwanza nimemkuta Meneja hana raha kabisa kisa anasema watu wanaofanya shughuli na Benki hawapo. Nimekuta watu wachache wa kuhesabu tu.

Kweli kuna tatizo. Kwa upande wa usafiri ndo usiseme. Wengi wamesimamisha mabus yao kwa sababu ya ukosefu wa abiria. Juzi nilipanda Bus kwa kawaida kampuni hiyo ya mabus ilikuwa inajaza kwelikweli.

Juzi tumesafiri kwenye Bus hilo abiriai 15 mpaka mwisho wa safari. Kuna tatizo. Tunaiomba Serikali ifanye utafiti juu ya matatizo haya na ije na jawabu ya kurekebisha matatizo haya.

Abiria wengi sasa wanatumia Bombardier au Dreamliner mkuu..huwezi kuwaona kwenye mabasi
 
Back
Top Bottom