Animal Keeper
JF-Expert Member
- Jul 22, 2016
- 348
- 283
Mzungu gani huyo, sura ndefu kama ukuta wa keko.
Mzungu gani ana maneno kama ya MANGE KIMAMBI?Nina mashaka na uzungu wa huyu mzungu.
"Kuna kuzaa mtoto na kuzaa mtoto mzungu"
By harmonize
blame no body
ushamba nao matatizo sana, na mimba ikayeyukaulitaka kusemaje?binadamu mna dharau sana aise,huyo unaemdharau maisha yake unayatamani sana sema ndo ivo tu wewe mungu kakupa ujustine bieber kakujima maisha,mwenzko kapewa uremmy ongala lkn ana maisha.Harmonize Anafanana Na Remmy Ongala!
Hii quote ingeandikwa na mzungu tungesema ubaguzi.M
Mzungu gani huyo, sura ndefu kama ukuta wa keko.