quimby_joey
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 391
- 175
Dah mpaka kabdilika rangi uso umekuwa mwekunduuu!!!:smile-big:
mi huwa nasonga ugali na kijiko na unaiva vizuriChezea kusonga ugari eeeeh lol..
mi huwa nasonga ugali na kijiko na unaiva vizuri
good combination aisee!hee, huo ugali utakuwa unaupikia kwenye kikombe
mi hata sikushangaa labda ni ule ugali wa mchanga/udongo wa enzi za utotoni lol!hee, huo ugali utakuwa unaupikia kwenye kikombe
mi huwa nasonga ugali na kijiko na unaiva vizuri
Very true...Wazungu full comedy, hao CIA ukute wako Namtumbo wanapeleleza URANIUM ninyi mnawacheka