tumepata wazungu wawili hapaTeh teh teh! sio mzungu wa unga?
ustaadhi mmoja mtaani. hii najua alikuwa ananipiga fix ili amkubwishe mwarabuChanzo tafadhali
Habarini wanajamvi,
Watu wengi tumekuwa tukiishi kwa mazoea bila ya kuwa na udadisi kwa vitu tunavyofanya au hata kusema kila siku, yapo maswali mengi amabyo mtu anaweza kujiuliza kwa mfano: nini chanzo cha upepo? na vitu vingine vinavyofanana na hivyo lakini kutokana na uvivu wetu wa kufikiri inatufanya kutokuwa wadadisi wa mambo.
Hii inapelekea kuchangia mambo kwa ushabiki au mihemko bila ya kufikiri.
Unaweza kupima kiwango chako cha kufikiri / kudadisi kwa kujiuliza swali jepesi kama,
mzungu ni nani?
Jibu la haraka ni kwamba mzungu ni mtu mweupe, lakini je wataka kunambia mchina nae ni mzungu? Vipi kuhusu waarabu, nao ni wazungu? Wahindi je?
mzungu ni nani? Asili yake ni wapi?
Ndiyo ni wazungu kama watakuwa na asili ya Ulaya. Hata Mtanzania mwenye asili ya Ulaya ni mzungu.Unachosema ni sawa kwa kiasi fulani lakini kumbuka kuna wamarekani,
wa'canada nao unataka kuniambia sio wazungu?
Mimi huwa siamini neno mzungu limezaliwa kutoka neno kuzunguka.Na kuhusu wao kuzunguka, ina maana hakukuwa na watu wa Asia kama wachina au wajapani waliokuwa wanazunguka zunguka Afrika ya mashariki kwa kipindi hicho?
SummaryBila maelezo kwenye hii kitu yenye lugha ya watu unatupa shida wenzio,
nisome kiingereza, nikitafsiri kwa kiswahili na ili nielewe lazima ni translate
kwa lugha ya kabila langu halafu nianze kufikiria kukujibu katika mlolongo huo huo. Huoni hio ni shida mpya mkuu?
Summary
1. When comparing White and Caucasian, the latter one is a larger race.
2. The Caucasian race consists of North Africans, Arabs, Whites, Somalians, some people in India and Ethiopians. On the other hand, white are mostly people who belong to Europe.
3. When compared to the Caucasian, the white people have a lighter skin. Unlike the white people, the Caucasian people have thin noses and thin lips.
4. The concept of white race or white people originated in the 17th century. But the reference of white race or white people can be traced to Greco-Roman ethnography.
5. The term Caucasian originated in the 19th century and has been derived from a region of the Caucasus Mountains. German scientist and anthropologist Johann Friedrich Blumenbach is credited with the development of the term Caucasian in 1800.
Sijui kama kuna mtu mweusi mwenye asili ya Ulaya nifahamishe mzee.Kwa hiyo wataka kunambia mtu mweusi mwenye asili ya Ulaya nae ni mzungu?