Mzungu alipita na nyani wake karibu na muuza ndizi, nyani akapora ndizi akaila muuzaji akamaind, mzungu akasema unamaind nn wakati ndizi kala ndugu yako? Mzungu akaondoka aliporudi akakuta nyani wake kafa akauliza nani kamuua nyani wangu? Muuza ndizi akajibu hayakuhusu ni mambo ya kifamilia.