Mzungu mshenzi sana

kujitambua ni akili kuliko akili yenyewe, tafakari kuchua hatua
 
Sasa wazalendo Kwa sababu tumeshaanza kujua kiini cha matatizo yetu kwanini members jamiiforium tusianzishe kampeni ya kataa utumwa jitambue! Nywele bandia, vipodozi vikali, mitaala ya elimu, mitazamo nk.
 
...dini mbona umeiacha mkuu-hii ndio sumu mbaya kabisa
 
Tuamke sasa...tushalishwa sumu kali y a inferiority complex before white man...Not all of us but most of us...
 
Baada ya hapo wakawatuma Missionaries, Traders na Explolers waje kuwafanyia kina babu mabadiliko... Dah[emoji30] Nadhani babu yake Chenge alikuwa wa kwanzakwanza kushawishika[emoji24]
Babu yake chenge ndiye mmiliki wa gambush akiitwa mwanamalundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…