wewe lazima utakuwa courz za mabinti(HRM, HSM,BBA-MARKETING,, RAM,LGM na nyinginezo) kwa hiyo jipange mdogo wangu utakutana na watu wanaokula applied statistics hawana mda na mambo haya ya net!!! kuna wapaka pouder wenzio wa-medisco ukiondoka kwenu usitangaze mtaani!!!!!:A S 465: