mzumbe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mzumbe

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by lweganwa b, Aug 23, 2012.

 1. l

  lweganwa b Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wakuu mambo vp,wale wa mzumbe jamani pita hapa..
   
 2. k

  kisunguniero Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  wapi???????????????
   
 3. paul kitereja

  paul kitereja JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wewe lazima utakuwa courz za mabinti(HRM, HSM,BBA-MARKETING,, RAM,LGM na nyinginezo) kwa hiyo jipange mdogo wangu utakutana na watu wanaokula applied statistics hawana mda na mambo haya ya net!!! kuna wapaka pouder wenzio wa-medisco ukiondoka kwenu usitangaze mtaani!!!!!:A S 465:
   
 4. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  hahahahaha umeniacha hoi kwa kicheko
   
 5. paul kitereja

  paul kitereja JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kweli kaka nakwambia..watu wanalia hapa mzumbe..test 3 kwa wiki moja!! yaan ni majanga
   
 6. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  acheni uvivu mlienda chuo kusoma sio kuuza sura test kama kawa na huo ni mwanzo tunategemea kuongeza vipindi ili kuwabana zaidi
   
 7. paul kitereja

  paul kitereja JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sasa vipind vikiongezwa c wanafunzi weng watafeli maana mda wa kusoma utakuwa mchache!!
   
 8. a

  axel fowly Senior Member

  #8
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu kwa vijembe we nouma...
   
 9. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  assignment kibao ili mpunguze kwenda mjini na migomo ipungue ss ni kazi mpaka mshike adabu chuo ni kusoma sio kuuza sura sasa hatutaki wataalam feki
   
 10. P

  Prince sax de lizzy Member

  #10
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwanza tunafungua lini mzumbe 1st year wakuu
   
 11. paul kitereja

  paul kitereja JF-Expert Member

  #11
  Aug 23, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kufunga kaka kama kwenye tarehe kumi hivi..! coz mtihan tunaanza tarehe 1 mwez wa kumi!
   
 12. paul kitereja

  paul kitereja JF-Expert Member

  #12
  Aug 23, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sasa ninaanza kuwa na mashaka na maelezo yako!! wewe umesikia wapi mzumbe kuna migomo?
   
 13. P

  Prince sax de lizzy Member

  #13
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwahyo mkuu tutakuwa wenyewe chuo kizima au inakuwaje!
   
 14. paul kitereja

  paul kitereja JF-Expert Member

  #14
  Aug 23, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nyie mnafungua kama tarehe 15 ya mwez wa kumi sisi tukiwa tuna likizo ya wiki moja kama sio wiki mbili!! tukirudi ndo wote tunaanza kusoma!!
   
 15. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #15
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ada ya watu ushaandaa? Au unasubiri HESLB
   
 16. tutaweza

  tutaweza JF-Expert Member

  #16
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Kijana acha dharau, hayo ni mambo ya zamani. Kwa akili ulizonazo inaonekana bado hujapevuka. Yaani hata field hujaenda maana una akili za kisekondari.
  Tena hao unaowasema kuwa wanasoma course za mabinti wengi wao ndio watakuwa mabosi wako
   
 17. Mr Penal Code

  Mr Penal Code JF-Expert Member

  #17
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 777
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  kaka hebu tupe ripoti hostel za ndani ni nzuri na upatikanaji wake je unasumbua.
   
 18. paul kitereja

  paul kitereja JF-Expert Member

  #18
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  teh teh teh...!
   
 19. paul kitereja

  paul kitereja JF-Expert Member

  #19
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hosteli ukiwahi unapata na kawaida mwaka wa kwanza wote lazima mkae ndani ya chuo!! weh ukiwahi lazima upate hosteli ..angalizo: jitahidi kufanya usajili mapema!
   
 20. paul kitereja

  paul kitereja JF-Expert Member

  #20
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  halafu wewe inaonekana mwanasiasa..hembu acha siasa ..siasa sio nzuri!!!
   
Loading...