Forum hii kwa sasa inatumiwa na vijana kuwadanganya wenzao kuhusu issue mbalimbali. Nashauri jukwaa hili libaki kwa great thinkers kujadili na kubadilishana mawazo ya kisomi na kiutu uzima kwa maendeleo ya jamii.

Seriously i'm a new member lkn kwenye hili jukwaa nimegundua kitu kimoja. Kuna watu wanaharibu hii forum kwa kutoa news ambazo huwezi dhani ndo HOME OF GREAT THINKERS. Please,we need PROVED FACTS na sio kudanganyana"