Mzumbe wamewezaje? AZAboy tu wapi?

Mzumbe wamewezaje? AZAboy tu wapi?

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,938
Reaction score
10,818
habari za jumapili wadau, hasa walio soma shule ya AZABOY, nikiwa miongoni mwa walio soma, shule ninaendelea kusikitika kwa matokeo ya shule hii kongwe na ya vipaji ambayo inaelekea sasa kuitwa AZA boy vilaza, leo nina msikia mwenyekiti wa walio soma Mzumbe akiwa ABOOD REDIO, akiwasistiza wenzake wajiunge katika umoja uo ili waweze inua kiwango cha taaluma shuleni mzumbe.

Sisi Azaboy tu wapi?
tafadhali kama wewe upo tayri nipm tuanze harakati shule yetu inaelekea kubaya.
baada ya muda mfupi tutaanzisha umoja wetu!
 
haaaa haaa..
naona unataka uenyekiti!!
 
Azaboys ilisifika kwa utukutu tu na sio kielimu!
 
ahaaaaaaaaaaa Aza boy ilisfika kwa yote, Ngumi Jiwe, na tahaluma. penginenumesau historia ya Aza boy!
 
hayaa humphrey polepole upoo??wapi jesse msilanga,leodigard,wapi kaboka mchizi,wapi amiri malengwe najua upo SA,wapi octar javet,wapi victor koroso,wapi docta wenzi,wapi onesphory paul,wapi deo ngatunga,wapi omary mungia,wapi deo mathew,wapi izaki vicent, wadau wooooote wa aza boy
 
Nasikitika shule yngu inaangamia...wakati huo kitaa unapata heshima.Kuna swala la kushughulikia kwa kweli pale .Advance toka wakati huo haikuwa gumzo sana ...wengi tulipita pale o level kama daraja la kwenda panapostahili.
 
...AZABOY iliisha 2000....imebaki Azania ya wapu.uzi tu!
..top 10 ya wajinga!?
.nonsense!
 
Back
Top Bottom