Yamefanyaje? Huku siyo Facebook...
mchawi subira..majina mzumbe jaman??
kaa utulie hivy hvy
majina mzumbe jaman??
majina mzumbe jaman??
watatoa .huwa wanachelewaga.kama uliweka chaguo la kwanza naulifanya vizuri form 6 we ushapata 80%.usihofu
kwa ufupi wanahelewaga had wanakuwa wamwisho kutoa.kwahiyo vyuo ulivyoviomba uwe unaangalia,kama haupo bas utakuwa umechaguliwa.mzumbe wapo smart,ushindan ni mkubwa ndio maana nasema km ulifanya vzuriidgo usihofu.na km uliweka chaguo la kwanzaKwanini mkuu unasema hivyo?