Peaceful Warrior
Senior Member
- May 28, 2013
- 125
- 29
Haya hapa nimeattach..karibuni military university
MZUMBE UNIVERSITY (CHUO KIKUU MZUMBE)
CANDIDATES SELECTED TO JOIN INTO VARIOUS DEGREE PROGRAMMES FOR
THE ACADEMIC YEAR 2014/2015
The candidates listed below have been selected through
CAS(Central Admission System) to join various degree programmes at Mzumbe University (MU) in the academic year
2014/2015
View attachment 189329
Mnakaribshwa wote kwa wale waliochaguwa Mzumbe kwa acourse mbalimbali Administration, Social science, bussines, economics na law. Karibuni Moro km20 from Moro mjini, friendly environment for studying. Ushauri tu atandaa nguvu ya kusoma, kunywa maji mengi. Karibu sana wanaokuja kusoma BAF. Mnapenda kujua nini kuhusu MU niulize
Welcome MU (Millitary University)
Oya majibu ya undergraduate lini? Tuanze na hilo
kusoma hapo ni kama adhabu kweli baadhi ya vyuo wameshaingia mwaka wa pili wao ndo manamaliza semister ya pili mwaka wa kwanza
Bsc ict ipo vp hapo?
Kiuu plus changarawee, man vp madege yangalipo?
Naombeni niulize kwa nn mzumbe wamechelewa kutoa majibu ya undergraduate?
kusoma hapo ni kama adhabu kweli baadhi ya vyuo wameshaingia mwaka wa pili wao ndo manamaliza semister ya pili mwaka wa kwanza
HakuNa adbhabu yoyote ni ratiba tu, kusma kwamba wengine wanaingia mwaka wa pili Mzumbe bado wa kwanza hakuna ukweli wowote sema ujaelewa.semister ya pili inaisha mwezi wa 10 na mwezi huohuo wanaingia mwaka wa pili kama vyuo vingine tu so hakuna tofauti apo.
nimecheck profile yangu nimepata Hapo MZUMBE ILA AIJAWA CONFIRMED NA CHUO COZ YA BAF NAULIZA IF KUNA POSSIBILITY YA BAF YA MWAKA HUU KWENDA MBEYA,NILISIKIA FUNUNUA KWAMBA KUANZIA MWAKA HUU BAF YA BS WOTE WANASOMEA MBEYA NI KWELI MKUU?