Mzumbe sekondari tujikumbushe....

Mnamkumbuka Minja? Alikuwa anakaa na mwalimu mwenzake, Bitwale, then Minja akaanza kule mdogo wa Bitwale. Mpaka mwisho ikabidi amuoe. Huyu binti sasa amefariki R.I.P. Minja alichukua binti akiwa O-level!
Naikumbuka sana, ila inasikitisha sana tena sana, maana siku moja nilienda kutembelea Mzumbe nikaenda mpaka nyumbani kwa Mwl Minja, yaani yupo na mwanae, so sorry for the guy. Ila he is doing fine!
 
Namkumbuka mwalimu Dick, alikuwa ananifundisha esabu nilipokuwa form four! sijui yuko wapi siku hizi, nasikia alienda kusoma degree y business education pale mzumbe university, sijui kama bado ni mwalimu.
 
Mzumbe mnatuangusha yani sredi imeanzishwa 2009 ina comments 21 tu,wana MAVI vp,wapi ngaimisi? Wapi traveller,wapi emil patrick,wapi lusekelo kibona,wapi nalitolela? Ni mimi mwana ilboru
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom