MUHIMU: Mliosoma au mnaosoma MZUMBE SEC. tukutane hapa

Firewall

JF-Expert Member
Aug 18, 2012
272
61
Habari zenu! Kama heading inavyosomeka, Hebu tufahamiane hapa, tujikumbushe enzi zetu.. Nyali, ngama, salo, pyenga, nyuji, faculty, chatuzoni, kwa chacha, mapazia, down, uzamini, magazeti, nyayo, mongwe... Dah hebu tujumuike wakuu! NB; Mlioko shule bado msisahau kutupa updates!
 
Uko sahihi ttaba, but sio mbaya mdau hapo juu akaelewa kidogo. vipi, wauzumbeni nini wewe??
 
dah umenikumbusha mbali kweli ishu za nyali ,chuck norris ,sola debe,UPARO,INCHAJI,..kukata kiu,..Nzega guest house,Changarawe,..kipindi hicho Mirambo na Shaban Robert kwa mabrazameni ,Mkwawa na Karume kwa wagumu.........siku ya nyali kulikuwa na foleni ndefu ya kwenda kuoga sababu kila mtu anataka kuoga siku hiyo...baada ya kupiga pushaps nk...DAH !!!! tehe tehe umenikumbusha mbali
 
Hahaa.. mkuu me nlkua nakaa mirambo. si kipindi chetu mkwawa ndo walikua wanakaa watoto walaini yani
 
wakati huo Kilakala ndio mademu zetu ...wametusumbua sana wale,..siku za disko walikuwa wanajifanya masista du kwelikweli..kiingereza kingi ..siku usipopata demu kwenye disko,... bwenini hakukaliki kabisa,utachekwa sana ,..hasa wakati barua za mapenzi zenye manukato zinapoanza kusomwa pale bwaloni ..halafu wewe hakuna kitu ....duh!
 
Hahaa.. time kama hizo ilibidi upige msuli mrefu siku hiyo maana bwenini hakukaliki. Afu nakumbuka kulikua na miform one mikubwa mikubwa, wakija kilakala inajitambulsha ka 4M5 PCB then wanapata airtym kwa watoto wa kiley.. sasa usiombe we ukose siku iyo...!
 
Mmenikumbusha mbali wakuu.. Enzi izo headmaster R.J Mwasha, 2nd master Bitwale(marehem), Njawa na wengineo., Lyf lilikua mzukaaa.. ukiongezea na matobozi faculty.. Daaah! Respect 2 wazumbe!
 
Wavivu kusoma ratiba zetu , ukmalza class unaenda pata ngama ya nguvu na salo la tsh 30, lala nusu saa bwenin then unashuka chuo kuangalia uzamini na magazeti, ukmalza unaenda kuchk basket, saa moja unajirudsha kuoga na kwenda kupata nyali. Mirambo ndo wanamisula. Nyuji nzito, utasinzia wakati shangaz akiwamaindi wafoji specil. Dakawa tumejipiga mabao sana. Da uzumbeni?
 
Mkuu umesahau kuyaibukia machungwa nyt kali mcmu wake.. Apo viongoz wanajkuta wanapga biti kchz af ucku 2nakutana michungwan... haha
 
Back
Top Bottom