Dr.philosophy
Senior Member
- Oct 12, 2012
- 122
- 27
afu ww kumbe mpuuzi kwahiyo Mimi hapa nachosema uongo auMzumbe chuo makini sana hawawezi kufanya hivyo
nashkiru kaka sema tatizo nipo kogoma huku dah ani ata sielewUsiwapigie nenda kabisa chuoni! Na vithibitisho vyote!!!
sifanyi kazi mzumbe ila WEKA NO YAKO HAPA kuna mtu nitakupa namba yake mfanyakazi mzumbe nahisi tatizo lako anaweza kulitatua na mimi namba hiyo nilipewa na matechinical suporter wa mzumbe baada ya kuwa na shida iliyoonekana kuwa juu ya uwezo wao.nashkiru kaka sema tatizo nipo kogoma huku dah ani ata sielew
0620390755 nisaidie mkuusifanyi kazi mzumbe ila WEKA NO YAKO HAPA kuna mtu nitakupa namba yake mfanyakazi mzumbe nahisi tatizo lako anaweza kulitatua na mimi namba hiyo nilipewa na matechinical suporter wa mzumbe baada ya kuwa na shida iliyoonekana kuwa juu ya uwezo wao.
NB.Sijaweka namba yangu makusudi maana kun na uzi niliweka namba yangu watu walinipigia cm sana mpaka nikachoka.kwa mambo haya haya ya usajili. ila nashkr niliwasaidia kadri nilivyoweza na shida zao zikaisha.
Braza unaweka namba yako jamii forum0620390755 nisaidie mkuu
asa tatizo lipo WAP ww mamba yangu hii ya biashara in maarufu sana tuBraza unaweka namba yako jamii forum
kaka binadamu wanakosea kumbuka pia hata system sometimes zina malfunctions hakuna kitu perfetct duniani namiini wewe ni mtu mzima kaka ila angalizo mzumbe wana shule ngumu sijaona sitaki hata kupasikia ukimaliza pale wewe ni mwanaumewakuu habar kwema Mimi nimechagiliwa mzumbe kozi ya sheria main campus lakin admission letter ni ya mzumbe campus ya mbeya kozi ya human resource nawapgia cm hawapokei nifanyeje wadau
aah hakuna mkate mgum mbele ya chai ww ntatoboa tkaka binadamu wanakosea kumbuka pia hata system sometimes zina malfunctions hakuna kitu perfetct duniani namiini wewe ni mtu mzima kaka ila angalizo mzumbe wana shule ngumu sijaona sitaki hata kupasikia ukimaliza pale wewe ni mwanaume
nenda morogoro main campus kaulize sasa unategemea majibu yatoke humu?wakuu habar kwema Mimi nimechagiliwa mzumbe kozi ya sheria main campus lakin admission letter ni ya mzumbe campus ya mbeya kozi ya human resource nawapgia cm hawapokei nifanyeje wadau