Mzumbe guyz!!!!naomba msaada kwa hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzumbe guyz!!!!naomba msaada kwa hili

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by REYRO, Sep 24, 2012.

 1. R

  REYRO JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 970
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Kwa anayee fahamu kiasi cha pesa zinazo hitajika kwenye stationary expenses kwa wale baf takers anisaidie!!!!!!!!!!thanx in advance!!!
   
 2. B

  Bwaa Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 18, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nazani ni 200,000/= ambayo board wanatoa
   
 3. G

  Georeez Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama unataka kujua amount inayotolewa na board ya mikopo ni hyo raia aliyemention hapo juu bt generally cost za stationary zinavary kwa kila m2 kutegemeana na mipango binafsi kwa mfano kuna m2 toka anaanza chuo mpaka anamaliza cost ya stationary iczd hata laki 1.kwa hyo kila ki2 ni mipango 2!
   
 4. WamLola

  WamLola JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 343
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  si wengi wa mzumbe tumetupwa:A S angel:
   
 5. G

  Georeez Member

  #5
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  then jifunze kuish kigumu semister nzima stationary haizd 50 mi nimeweza am sure u kan make t 2
   
 6. Siraj

  Siraj Member

  #6
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni laki mbili ingia kwenye web ya chuo then kwenye fee structure utaona
   
Loading...