Mzuka Wampanda Baada ya Kufika Kileleni

Kweli kiswahili kigumu mie nilijua kile kilele chetu kwenye kale kamchezo
 
kufika uhuru peak si mchezo wazungu hamnazo kuna zingine utacheka kabisa
mie nilijikuta nalia machozi nilipofika kilelelni, hawa wameamua kuvua nguo ila ni hatari sana
 
kweli barafu imeisha kileleni, kweli enzi hizo mtu atadiriki kufanya hivi?
Wewe paoe tu kwamba hakuna barafu......kuna baridi hapo usiombe. kumbuka ni 5000+M above mean sea level.....baridi balaa, na presure difference ni kubwa usiombee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…