Wakuu hii imekaaje. Watu wengine hawataki kuzeeka. Jamaa kajificha nyuma ya miwani ya jua (gugoz) alafu full mzuka umempanda. Hapa si ni sawa na kujitafutia matatizo?
Wanawake wengi wa kiafrika hupenda mababu maana wanategemea kurithi mali baada ya kumpandisha na kumshusha kibabu cha watu mara kadhaa! We angekuwa babu wa kibongo keshapigwa ngumi kadhaa za uso!
Ndo mjuage kuwa hawa watu weupe wanatakiwa kutupa heshima hata kwa mtutu ona sasa alivyotepeta yaan mpaka limezubaa coz hivyo vtu kwao hakunaga jamani!