Mkuu Tee Bag Kweli nimjiweka pembeni na Mafisadi wa escrow Wakubwa wanahusika ndio maana nimekaa pembeni.Anaona umejiweka pembeni kwenye escrow
naiman64 vingine havitafuniki wala havimezekiKama ubavu wako mdogo mkuu kaa pembeni uangalie wenye meno watafune ila iko siku yatawakwama halafu naona si mbali
Mimi sio Mwana Siasa hata kam ni Mwana Siasa siwezi kushiriki Siasa za kiafrika hazina Demokrasia ya ukweli uongo mtu hakuna Demokrasia Afrika U-Dikteta umezidi kwa viongozi wa nchi za Kiafrika wanap0enda kung'ng'ania madaraka hawataki kuacha madaraka wakisha kuwa kwenye Uongozi mpaka watolewe kwa mtutu wa bunduki sitopenda kamwe kushiriki Siasa Uchwara za Ki-Afrika sina Time kabisa naiman64Kama ubavu wako mdogo mkuu kaa pembeni uangalie wenye meno watafune ila iko siku yatawakwama halafu naona si mbali
Mimi sio Mwana Siasa hata kam ni Mwana Siasa siwezi kushiriki Siasa za kiafrika hazina Demokrasia ya ukweli uongo mtu hakuna Demokrasia Afrika U-Diktetani umezidi kwa viongozi wa nchi za Kiafrika wanap0enda kung'ng'ania madaraka hawataki kuacha madaraka wakisha kuwa kwenye Uongozi mpaka watolewe kwa mtutu wa bunduki sitopenda kamwe kushiriki Siasa Uchwara za Ki-Afrika sina Time kabisa naiman64
Duuh hadi madokta huwa wanaumwa kumbe...... Af MziziMkavu siku hizi mbona huweki hadithi aisee
Kutesa kwa zamu, sasa endelea kutesa!
pole mkuu doctor......kongolo linahusika apo kwenye goti
Ma-Daktari ni binadamu kama binadamu wengine wanaumwa na kupona au kufa siku zao zikifika vipi wewe hujambo KhantweDuuh hadi madokta huwa wanaumwa kumbe...... Af MziziMkavu siku hizi mbona huweki hadithi aisee