mzizi mkavuuuuu...

Last edited by a moderator:
..Hatimaye umeamka!!! Nimejaribu kukuamsha mara chungu nzima lakini ulikuwa fofofo 🙂🙂. Amka Mzizi!!! mupenzi anakutafuta ana hamu sana nawe...Kasubiri sebuleni hadi kachoka lakini alidai anaenda kufanya manunuzi akimaliza atapita tena 🙂🙂
 
hatimaye Neema kaipata tamu ya Mzizi Mkavu, hicho kilio si bure sijui katekenywa angle gani...
 
Watu wako deep!!!!
Yaani kitu kidogo, washamwaga YouTube.
 
Hahahahaha lol! Rubani...Mie sijawahi kuwa DJ banaaa...Ila muziki mhhhh! naupenda sana kusema kweli...Natumai kibaridi kimeacha kukunyanyasa.


mmhh BAK hivi kumbe bado unafanya kazi ya U DJ???
unajua wavyosema kuhusu ma DJ............................ ...??
MziziMkavu changamka ndugu yangu mwana kesha data sjui ulimpa mzizi wa mti upi....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…