Mzinga wa KONYAGI ni shida

Mzinga wa KONYAGI ni shida

sony wega

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2012
Posts
234
Reaction score
35
Wadau habari ya weekend,

Eti naomba kujuzwa au kufahamishwa kuwa kwanini ukipiga mzinga wa konyagi show ya mambo yetu ya kikubwa inakuwa verry fantastik.
 
Kwa sababu konyagi ni verry fantastik
 
Nguvu za kiume ni janga sasa kwa vijana.

Bila busta hawawezi kazi, vijana mtaishia kulia lia mnachapiwa na tutawachapia sana kwa mwendo huu.

Usipobusti kazi haziendi kwa hiyo mnalazimika kila siku kulewa ili mpige show vinginevyo hakuna show.

Ambao hatuna matatizo hayo tutazidi kuwachapia kila siku wake zenu.
 
kama unategemea konyagi au chochote kufanya show fantastik kama ulivyosema ujue wewe si rijali.... Tena bila aibu konyagi inakushinda nguvu na unajitapa
 
kwa hiyo hata ukioa utakuwa unaitegemea nyagi kila siku acha mazoea
 
Kwa hesabu za fasta, bikra umeipoteza jana.
 
Back
Top Bottom