Mhe.Chrissant Mzindakaya anadaiwa kupewa mkopo na Sirikali Kuu kiasi cha Sh.Bilioni 9 ilhali mkulima wa hali ya chini ametengewa kiasi cha Sh. Bilioni 1.4 kama ruzuku ya mifugo. Umaskini utatokomezwa kwa njia hii kweli?