Mama,
la kuwaloga IMF na WB mbona hilo tayari, huoni, kashfa za EPA, Meremeta, Deep green, ndege ya rais, na mikataba ya Buzwagi lakini bado wanatumwagia mapesa tu...sidhani kama Zimbabwe wamefikia hatua tuliyofikia, lakini walishafungiwa kuwa wateja tangu 2002.
i mean pamoja na hayo angeloga ili hali za maisha ya wapiga kura wake zitengemae, kama kuloga barabara zijengwe, maji safi yapatikane, shule na hospitali za kiwango cha kimataifa. Uchawi huu hata mie nauunga mkono.
Lazima Mzindakaya Amsifie Mkapa. Kwa Taarifa Ni Kwamba Wakati Wa Uongozi Wa Mkapa, Mzindakaya Ni Kati Ya Watu Waliofaidika Na Msamaha Mkubwa Wa Kodi Kwa Ajili Ya Kampuni Yake Ya Kilimo Iliyoko Huko Kwao Rukwa. Alisamehewa Msamaha Mkubwa Wa Kodi Kuliko Mtu Mwingine Yoyote, Mbaya Zaidi Aliutumia Msamaha Huo Kuingizia Magari Yake Na Vitu Vyake Vya Kifahari, Tofauti Na Malengo Ya Msamaha Huo.
Sasa Kwanini Asimtetee Mtu Aliyemnufaisha? Hawa Wanateteana Ili Kufucha Madhami Yao Binafsi Lakini Ukweli Wanaujua Wenyewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.