Mwanasiasa mkongwe na kada wa CCM, Chrisant Mzindakaya amekitaka chama cha Mapinduzi CCM kujibu hoja za Chadema kwa kuwatumia viongozi wa mikoa ambayo Chadema wanafanya mikutano badala ya kumsubiri Waziri Mkuu au rais kujibu hoja.
"Viongozi wa CCM katika mikoa ambayo Chadema wanapita na kutoa hoja zao, wajibu kwa kuponda hoja hizo ili wananchi waelewe hali halisi na siyo kumsubiri Waziri Mkuu au Rais kujibu hoja," alisema Mzindakaya.
Amehoji iweje Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) kuwa kimya muda wote kama iko likizo na kuiachia Serikali kazi ya kisiasa hasa katika kipindi hiki?
Source: HabariLeo
Ninapata shida na kichwa cha habari! Labda nakosea ni wapi ameunga mkono CHADEMA?

Tatizo la CCM si kwamba hawana majibu wanaweza kuja na majibu mazuri ukashangaa tatizo liko kwa nani ajibu, ukiangalia NEC yote kila mtu anajihisi ndiyo maana wanawaachia Pinda na JK kazi za kisiasa sijui za kiserikali watazifanya lini.Mzindakaya naye kweli kachoka kisiasa na akili yake haiangalii mbali, labda swali dogo kwake nimuulize hivi...Ni Makada wepi kutoka kundi gani ktk CCM wilaya/Mkoa walio na haki ya kuijibu CDM, je ni Makada fisadi ngazi ya Wilaya/Mkoa? au Makada Wapiganaji ngazi ya Wilaya/Mkoa? Mzindakaya anapaswa kulijua hilo kwanza ...ushauri wa bure kwake ni kwamba kokoro lenu limebeba uchafu safisheni kwanza mkianzia na uozo wa Rostam wakifuatia makada wachafu na baada ya hapo mgonjwa atatoka ICU..ila kwa jinsi tunavyowajua mmeshakata tamaa na mnasubiri miujiza ya mola wenu
Ninapata shida na kichwa cha habari! Labda nakosea ni wapi ameunga mkono CHADEMA?
Chadema wasingekuwa na hoja sidhani Mzindakaya angetamka hayo kama anataka hoja za Chadema zijibiwe kwa hoja maana yake nini hoja za Chadema ni za msingi. Kwa mtu mzima kuunga mkono kitu si lazima atamke neno 'naunga',Hajaunga mkono lolote. Heading inapotosha. Wote ni yale yale
Ujasiri kama huu wa Mzindakaya ...CCM wanaukosa na itawagharimu sana...
hakuna mtu aliyebaki CCM mwenye ujasiri wa kujibu hoja nyepesi tu ambazo CHADEMA wanahoji!!
Kwa mapungufu hayo CCM wanjikanyanga ...mpaka wanajimaliza wenyewe..
Ni mawazo gani ya hovyo aliyoongea Mzindakaya.gime me a breack please, ni ujasili upi huo wa Mzindakaya aliounesha? au hii thread ina remixer yake ambayo mimi huenda sijaisoma? mbona alichoongea Mzindakaya hata mjumbe wa nyumba kumi anaweza kuongea au wapo wanaoongea sana tu lakini hawana media coverage? kama Watanzania tuna mawazo ya hovyo namna hii, basi kuna zaidi ya tatizo.