T2015CCM
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 7,931
- 987
Wananchi wa Kalenga wamemuuliza mgombea ubunge jimbo la Kalenga kwa nini Kamati Kuu ya CHADEMA ilifanya maamuzi dhidi ya Zitto kinyume na Katiba ya CHADEMA.
Wananchi hao wamemwambia Mgombea huyo kuwa Zitto aliyekuwa Naibu Katibu angejadiliwa na Baraza Kuu kwani Naibu Katibu anatokana na Baraza Kuu.
Hivyo Wananchi wamesema kuwa Zitto Kabwe alionewa na pia Katiba ya CHADEMA ilikiukwa kwa Maslahi ya Mbowe eendelehe kuwa Mwenyekiti wa Kifalme wa CHADEMA.
Mgombea Ubunge huyo amewajibu na kusema suala la Zitto bado liko Mahakamani.Wananchi wa Kalenga wakaonyesha msimamo wa kutokuichagua CHADEMA mpaka wamemuone Zitto anafika Kalenga.