Mzimu wa Kuungua Mabweni ya Shule za Sekondari.....

Toosweet

JF-Expert Member
May 27, 2012
2,141
1,982
Salaam wanaJF
Katika taarifa yao ya habari ya tarehe27/11/2016, kituo cha ITV kilitangaza kuhusu kuungua kwa Shule ya Sekondari Tweyambe iliyoko Misenyi Mkoani Kagera.Bweni la wanafunzi liliteketea kwa moto lakini hakuna aliyepoteza maisha.Uchunguzi wa awali ulibaini kuwa bweni hilo halikuteketea kwa moto unaotokana na hitilafu ya umeme kwa kuwa wanatumia Solar.
 
kwanini tusiseme ukweli mabweni kuungua ni mbinu chafu zinazofanywa na upande wa pili ili kuudhoofisha speed ya serikali ionekane haifanyi kazi.
 
Back
Top Bottom