Mzimu wa kutendwa unaniandama

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaanih nimecheka afu nikakuonea huruma, pole Kevi ndo washakundi ndi
 
U

Umeanza kuhonga ukiwa na umri mdogo sana.
Mkuu kuhonga inatakiwa uanze ukiwa na miaka mingapi?? Mimi sijawahi kuhonga sema nakutana na wenye shida zaidi yangu nawasaidia tu. Au sujui maana ya kuhongaa
 
Duh bwana ametwaa jina lihimidiwe sisi ndo tulivyo kijana Kev never trust any women only your mamu
 
Kuna huu Msemo wa huyu mrembo " Ubarikiwe mpaka ushangae" kisha akanipiga kibuti Mimi ata siuelewagi[emoji41] [emoji41]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hakika ubarikiwe mpaka ushangae...mmmh
 
sina hakika kama hao madem wako ulikuwa unasimama shoo kasawa sawa ndo maana wanakukimbia kevi, mwanamke ukiwa unampa dozi za ukweli hata akikuacha atarudi tu au bac hata asiporudi atakuwa anakukumbuka hawawezi kukuacha kwa dharau km hao walivokuwa wanakufanyia. tatzo unatumia pesa kama ngunzo katk mahusiano yako kevi. be care utaendelea kuumizwa sana hawa viumbe kama na ww ni wale wanaume wa kagoli kamoko then unapiga usingiz hadi kesho.
 
mjomba hizo hela wakati huu wa mafuguli unazichota wap aisee mim nikiombwa hata Buku nakuwaza kwanza
 
Mkuu kutoa ni karma nahisi hii elimu ya magharibi sio ya kuishii sanaa

Sent from my L3 using JamiiForums mobile app
Ndivyo mnavyojidanganya kwamba mkitoa unapata mara dufu sindio...Kawape maskin na wasiojiweza kaka iutafanikiwa lakin si msichana labda awe mchumba wako na si girlfriend
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Inaelekea Kevi unahonga pesa ndefu,ukiwapa pungufu wanadhani umefulia. Aisee pole sana mkuu!
 
Kevi boya sana......unadangaanywa na warwmbibwa humu wanaosena bila pesa no love....hao wako kimaslahi zaidi sio love ....sont fall for that....mapenzi ya dhati hayatengenezwi na pesa bali pesa inatengeneza maisha bora.......we endelea tu uone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…