nakukubali sana mkuu mume wa Demiss[emoji23][emoji15] [emoji15] [emoji115] [emoji115] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
nje ya mada, huyo ntoto usimwache hivi hivi hakikisha unamwachia historia[emoji23][emoji3] [emoji115] [emoji120] chamdeko
Aaamen kaka asante sana.... Mambo yote yatapita lakini NENO litasimama... Lakini kumbuka pia bado kitambo kidogo.... Na unabii lazima utimie kwanzaMshana uko na shida rafiki yangu..! Tulio kwa Yesu hatusumbuliwi na fikra nyepesi kama hizi ziwe za kweli au za uongo siyo hoja, bali msingi wetu ni tumaini la UZIMA WA MILELE. Maandiko yanasema bado kitambo kidogo unayoyaona jangwani hutayaona, elimu haitakuwa na maana, yanga au simba, Manchester au Madrid haitakuwa story tena ila NENO/JESUS litasimama milele.
Avatar yako inakinzana na maneno yako, waswahili tunakuita ndumilakuwili au popo.Mshana uko na shida rafiki yangu..! Tulio kwa Yesu hatusumbuliwi na fikra nyepesi kama hizi ziwe za kweli au za uongo siyo hoja, bali msingi wetu ni tumaini la UZIMA WA MILELE. Maandiko yanasema bado kitambo kidogo unayoyaona jangwani hutayaona, elimu haitakuwa na maana, yanga au simba, Manchester au Madrid haitakuwa story tena ila NENO/JESUS litasimama milele.
Shetani na mawakala wake huwa wanatutoa katika kuutafakari ukuu na utukufu wa Mungu na badala yake wanatuchepusha kujadili upupu/upuuzi km huu, kitakachofuata ni hofu kisha kuishia kutambikia na kutoa kafakara! Be strong spiritually hutajaribiwa au kutumika hovyo! Kwani wema Mungu huoni? Neema za Mungu huzioni? Mbona huzijadili unaishia kujadili habari za giza? Mungu alivyo mwema hutumia watu, malaika, Roho mtakatifu na wakati mwingine majaribu na mitego ya shetani kujipatia utukufu kwa kuwakomboa watu wake kama wewe rafiki yangu.Aaamen kaka asante sana.... Mambo yote yatapita lakini NENO litasimama... Lakini kumbuka pia bado kitambo kidogo.... Na unabii lazima utimie kwanza
Kwanini kila unachokiona udhani rafikiii??? Hapo mwanzo Mungu alituumba akatuacha uchi huwezi tafisiri alitaka tufanye uzinzi..! What if mimi biologist tena zoologist..![emoji7] your smart eyes only.Avatar yako inakinzana na maneno yako, waswahili tunakuita ndumilakuwili au popo.
Pale jini jike anapokutana na jini dume ni hatari sana..![emoji3] [emoji115] [emoji120] chamdeko