Mzima kweli huyu?!

Usichanganye kazi na nafsi!!!! Mbona kuna mafundi fenicha wanakalia mikeka majumbani kwao??
 
Hiyo ni kazi yake na hayo mengine ni maisha yake ndivyo alivyoona inafaa akili anayo ndo maana anajishugulisha na biashara hiyo.
 
Huyu nazani hajawai kumuona kinyozi mwenye rasta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…