shikulaushinye
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 828
- 456
Wakuu,
Kwa Rithim ya huu muziki wa Dr John Pombe Rais wetu, vigogo waliokuwa wakitafuna pesa za serikali sasa hali ni tete hakuna ajuaye kesho.
Maana majipu yanatumbuliwa bila huruma, mfano wa vigogo waliokwisha tumbuliwa ni pamoja na boss wa TRL TPA, NIDA, TAKUKURU, NEMC, TRA, MABALOZI, MISITU, MIFUGO.
Bado hajaanza wakuu wa wilaya na mikoa pamoja na wakurugenzi huko itakuwa kiyama haki ya MUNGU. maana wakurugenzi wana midomo na matumbo makubwa, haaaa tafadharini anzeni maadalizi ya kukabidhi warithi.
Vigogo wa polisi na trafic mpooo?
Mbona hatuzioni suti zikining'inia kwenye mashangingi tena au nidhamu ya woga? Maana hata kufua mlikuwa hamfui tena Nyumbani, DRY CLEANER SERENA HOTE..