Mziki ni asili yake si uongozi

kula kwa tindo

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
1,330
323
Picha ina jieleza, Mziki ndani ya DAMU....
 

Attachments

  • 8222426.jpg
    8222426.jpg
    45.7 KB · Views: 647
Hahah, kwenye mziki pia wana viongozi, you forgot king of the pop
 
hao jamaa hapo pembeni wako kama wanamwambia aisee sasa mzee mbona unajiaibisha..! hebu waangalie vizuri..!
 
Yes kazi na dawa kaweka matatizo ya nchi chini kaweka mikono juu then full kubanjika tu....huyo ndo JK presida we2 mzee wa kuanasika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom