Mzigo wa maana!

Ha ha ahhhhaa. Ati majitu.
Ilo joka abaa
mimi kunakipindi nilikuwa nikiwaza nyoka tu namuona na ninwawaogopa hatare ipo siku nilikuwa natoka kazini, nikawa nawaza kuwa nitakuta nyoka ndani ............hamad ile nazama chumbani nyoka huyoo keleweii nilikimbia na maparachichi niliyobebe tupa kule na sikulala hapo.
nashkuru mungu sijui nilikuwa na jini la nyoka?! siku hizi hizo hisia za nyoka hazipo khaaaaamajitu yanatisha sana


mshana nitakuuliza badae kwanini nilikuwa nikiwaza nyoka tu namona
 
Ha ha haaa. Hio shida sasa.

Mi nlikuwa nikiwaza pesa au chakula ndo napata.

Ila saivi na mie pia imeondoka hio.
 
aghrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr walahi haya majitu yaanatisha haya uwii hapo limemeza na kama halijala litameza hata punda uwii
Hili mnalifungia safari na kirikou iliyojaa mazagazaga ya viungo kuanzia chumvi mpaka malimao[emoji39] [emoji39] na kuni za kutosha kabisa
Mkishaliua mna hakikisha mnamla kama hamumjui vile
-asubuhi mchemsho
-mchana roast
-usiku nyama choma daily mpaka mummalize[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 


ewaaaaaaa.................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…