Mzee Yusuph, waliokushauri wamekudanganya

NANI kasema Muziki ni kazi HARAMU ?

Basi karipoti Polisi wamkamate maana anafanya Uharamu.

Ninachojua kuwa Muziki na kazi halali kama kazi Nyingine.
Na Nyumba za Ibada nyingi zinajengwa na Wanamuziki.

Kumbuka hata DUFU na KASWIDA ni Muziki

Kwani polisi ni kwa ajili ya mambo ya Mungu!

Ni wao wenyewe kila wakitaka kujitenga na mziki wa kidunia hutangaza ‘kuokoka’ na kumrudia ‘mnyaazimngu’ kwa kukiri kuwa walikuwa wakifanya mziki haramu.

Hivyo hutubu na kujiepusha ili warudi kumwimbia kaswida, ni maneno yao wenyewe wala sio mimi.... kujenga misikiti ni utakatishaji tu.
 
Wakati mwingine hata hao wanamuziki hawajitambui.
Kwa kuita halali haramu.
Kuimba muziki sio dhambi, dhambi ni kuimba Matusi. Baraza la Muziki Tanzania lishawafungia wanamuziki wengi tu na wengine kuwapa adhabu kwa kuimba muziki usio na maadilli.

Mzee Yusufu hajawahi kuadhibiwa wala kuonywa kwa kukiuka maadili ya Muziki.
Muziki wake ni halali hata kama yeye haelewi hivyo.
 
Hatakaa arudi kileleni ..na huo ndio mwisho wake...kakangeuka kiapo cha kumkataa shetani na kumrudia Mola wake..akafinywa kidogo tu akafinyika...MUNGU HAJARIBIWI
Mufti Zubery anaishi Masaki kw hisani ya CCM wanaopora na kuua watu kila siku. Na yeye haoni tatizo kabisa.

Sheikh Salum ( mnamwita sheikh wa mkoa ) kazi yake ni kujimomba kwa wanasiasa wenye madaraka maisha yaende.

Watu wanauliwa yeye haoni.

UTU umekuwa ni bidhaa adimu sana Tanzania mpaka kwa watu wanakjiita watu wa dini, huku kila siku wakihukumu watu.

Mzee Yusuf haui mtu, hakeri mtu na sana sana anawafanya watu wafurahi.

Nadhani Mzee Yusuf anaonekana kuwa mtu mwema ila ninyi wenye midini yenu mnataka kumharivu kwa kutumia midini yenu.

Kwenu ninyi mtu anayeua watu ni sawa kuliko Mzee Yusuf anayefanya watu wafurahi.

Pesa na madaraka ndio mungu wenu ninyi mnajifyatua wacha mungu.
 
Wakati mwingine hata hao wanamuziki hawajitambui.
Kwa kuita halali haramu.
Kuimba muziki sio dhambi, dhambi ni kuimba Matusi. Baraza la Muziki Tanzania lishawafungia wanamuziki wengi tu na wengine kuwapa adhabu kwa kuimba muziki usio na maadilli.

Mzee Yusufu hajawahi kuadhibiwa wala kuonywa kwa kukiuka maadili ya Muziki.
Muziki wake ni halali hata kama yeye haelewi hivyo.

Basi uko sahihi, nilidhani tunarejea maelekezo ya imani zao kumbe ni kwa mtazamo wetu na sheria za BASATA... I rest my case.
 
Hatakaa arudi kileleni ..na huo ndio mwisho wake...kakangeuka kiapo cha kumkataa shetani na kumrudia Mola wake..akafinywa kidogo tu akafinyika...MUNGU HAJARIBIWI

But at least maisha yake yatasogea, jaman ajarudi kuiba karudi kutumia jasho lake,

Amesema alikuwa na Hali ngumu, Hana shule, biashara zote zimekwisha, ana maden Sasa angefanyaje?

Bora karudi kuimba
 
Back
Top Bottom