Mzee wakubadili gia angani

Mzee wakubadili gia angani

Nina BROTHER DC na sijui hata anaendeleaje huko last conversation was 2024 kama sikosei
Kwa hiyo siku akifa hutoenda kumzika Kwa sababu ni ccm?
Yaani umkane au ukosane na ndugu yako kisa Wana siasa ambao nao wapo wanatafuta madaraka ili familia zao zineemeke?
Lisu mwenyewe ambaye amefungwa jera katoa pole kwani yeye ni mjinga?
 
Kuna pole kweli na pole kebehi,mimi hata mama yangu na mkataa pale anapokuwa upande wa udwanzi
 
Back
Top Bottom