Mapengo 17
R I P
- Mar 28, 2014
- 1,228
- 618
Mzee wa Upako, Anthony Lusekelo, mda huu anahubiri kupitia Chanel 10 anasema wanaowauwa watu wenye ulemavu wa ngozi maalbino ni 'Mabwege'.
Anasema njia zako zinapaswa kupata kibali machoni pa Bwana ili hata maadui waaweze kuutambua ukuu wa Mungu.
Naona waumini wanaanza kumpa sadaka baada ya kauli hii...
Anasema mshirikina sio mtu kwamaana anaweza kumuua hata mzazi wako ili apate hali, ndio maana watu wanakimbilia kuua Maalbino.....kama Paulo anavyosema "Mimi nimevaa chapa za Kristo.....usipambane na hisia za mtu bali pambana na hisia zako kwa maana ndizo zinazotoa maamuzi".