Mzee wa upako: Nchi itajengwa na wananchi wenyewe

Mzee wa upako: Nchi itajengwa na wananchi wenyewe

Hawa ndio wale waliosetiwa kuanza kuzipamba tozo kwa manufaa ya serikali.

Ngoja hao waumini wenu wakose sadaka za kuwatolea kwenye vijiwe vyenu ndio mtapata akili.
Sitoshangaa na Mufti wa Bakwata nae akisema tuziombee Tozo.
 
OK sawa itajengwa na WATANZANIA wenyewe lakini sio MZANI unaegemea upande mmoja tu kwa WANANCHI kukamuliwa kwa TOZO zisizokuwa na kichwa wala miguu ila wao wanafuja mali na kusadha na washirika wao.
 
Tatizo no pale maendeleo ya taifa hayaendani na wingi wa tozo tunazolipa.
Wanasingizia vizahanat na vidarasa vya sekondari wanasahau kuwa walishatwambia kuwa hayo ni madarasa ya covid
 
Kumbe mafuvu ya watu kwa mganga ni wagonjwa wanaokufa na kuzikwa kimyakimya!
 
Back
Top Bottom