Mzee wa upako: Mungu anachukia umasikini

Mzee wa upako: Mungu anachukia umasikini

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
4,433
Reaction score
1,772
Namuangalia kupitia Channel 10. Anasema ukifa na Nyumba moja wewe ni bweg.e. Amenukuu neno linalosema 'utakopesha wala hautakopa'.

Kauli ya Mungu na ile ya Lowassa naona zinafanana.
 
Namuangalia kupitia Channel 10. Anasema ukifa na Nyumba moja wewe ni bweg.e. Amenukuu neno linalosema 'utakopesha wala hautakopa'.
Kauli ya Mungu na ile ya Lowassa naona zinafanana.

Atoe Aya na Mlango katika Biblia inayosema ukifa na nyumba moja ni dhambi. Watanzania wote tutachomwa.
 
watu wasio makini wanafikiri kuwa maskini ndiyo tiketi ya kuingia lango la mbinguni - wanajidanganya !! Lowassa upo sahihi kuuchukia umaskini.
 
Hajasema ni dhambi bali amesema ni -----.

----- akiwa anaishi maisha ya kumpendeza mungu ataenda mbinguni.ila mungu anataka tufanikiwe

duniani mara 100 na kisha turithi ufalme wake

umeelewa?
 
akina pole pole wanatudanganya kuhusu utajiri..Huwezi kuendesha taifa bila matajiri,matajiri wanamitaji ,mitaji yao inaleta ajira ajira zinaleta vipato ,vipato vinalipa kodi...huyu polepole ameanza ubwege
 
Mzee wa upako yuko sahihi, Umaskini unasababisha mtu kutenda dhambi,hivyo umaskini ni kikwazo,Watanzania tuuchukie umaskini kama anavyouchukia Lowassa!
 
Mzee wa upako yuko sahihi, Umaskini unasababisha mtu kutenda dhambi,hivyo umaskini ni kikwazo,Watanzania tuuchukie umaskini kama anavyouchukia Lowassa!

Lowassa hawezi kuwa mfano wa mtu anayechukia umaskini. Mtu yeyote ambaye utajiri wake ni product ya ufisadi na ambaye kutajrika kwake kumechangia kuwafanya watu wawe maskini ni hatari kuliko mionzi ya polonium!
 
Lowasa ni chaguo la Mungu.

Acheni kukufuru hivyo ndugu zanguni,hata km unampenda vipi usiseme ni chaguo la Mungu,wewe umeenda Mbinguni kumuuliza akakwambia hivyo???,acheni kutumia jina la Mungu kuuhadaa Umma.
 
Lowassa hawezi kuwa mfano wa mtu anayechukia umaskini. Mtu yeyote ambaye utajiri wake ni product ya ufisadi na ambaye kutajrika kwake kumechangia kuwafanya watu wawe maskini ni hatari kuliko mionzi ya polonium!

Eeeeeewaaaaah!!!,wewe umeongea point.
 
Watu weusi wengi wanacelebrate poverty, ni ujinga wa hali ya juu, lakini kwa maxingira ya tanzania ccm ingependa watu wawe maskini na elimu duni ili iwe rahisi kuwatawala..angalia ccm inapokubalika, mikoa ya pwani, dodoma , tabora na badhi ya maeneo morogoro..huku kote ni maskini na elimu duni
 
Lowassa hawezi kuwa mfano wa mtu anayechukia umaskini. Mtu yeyote ambaye utajiri wake ni product ya ufisadi na ambaye kutajrika kwake kumechangia kuwafanya watu wawe maskini ni hatari kuliko mionzi ya polonium!
Watanzania tujifunze kufuatilia vitu, hivi unajua lowasa ameanza biashara akiwa na umri gani..?! Ameanza akiwa na miaka 18..lowasa yupo chuo anafanya biashara ya kupeleka maua ujerumani, yule jamaa ni level nyingine kabisa, mimi na ww tupo chuo tunawaza kuajiriwa na ccm, ana akili na uwezo tofauti na watanzania wengi sana, ndo maana anataka urais kwa sababu anajua anauwezo mkubwa na ni extraordinary
 
Mungu wetu c maskin. hivi vtu vyote viijazavyo nchi ni mali yke. [nmesahau tu kifungu ktk Biblia]
 
Back
Top Bottom