Ni lini Chadema/Ukawa wametangaza mgombea urais wa mwaka 2020? Ndiyo maana mnaambiwa mnamwogopa Lowassa!Huyo kwisha kazi na wala haogopewi na watala. Ila. Nahisi huko aliko ndo wanamwogopa zaidi mana kila asemalo halipingwi na kesha jihakikishia kuwa mgombea 2020. Poleni VVU
Sio kweli, Sumaye na opposition kwa ujumla wanaongea masuala, hawaongelei watu. jaribu kuona tofauti!Wakati wa kampeni na sasahivi Sumaye kila akisimama lazima aweweseke juu ya maguful na CCM, ata mbowe mwenyewe lazima aitaje sana CCM na magufuli, Je hii ni ishara kuwa wanamwogopa Maguful na CCM kama hoja ndio hiyo kua kumuongelea wamemuogopa? Maana aslimia 99 huwa n kuiongelea CCM au viongoz wa CCM licha ya mazuri inayotenda serikali hii... Kumbe ukiwa nyumbu ata kufikiri vzr huwezi.
Unafahamu mwalimu asiyejiamini yaani "mweupe" anavyokuwa mkali (illogically) kwa wanafunzi wake?Kama CCM wangekuwa wanamuogopa Lowassa unadhani wangetumia kalamu ya Bic kulikata jina lake?
Jaribuni basi hata kutumia common sense au ndio yale yale kuwa common sense is not common!
Ni sawa na kufahamu haya ni mavi lakini baada ya kumuona fulani anakula basi na wewe unaanza kula badala ya kujiuliza kwanza kwa nini anakula mavi.
Ha ha ha chama cha mang'ombe yaliyokatwa mikiaAmeingia kwenye historia ya dunia.....kutaka kuvunja kabisa chama cha mang'ombe sababu alikuwa maarufu kuliko chama!! Hawatamsahau maishani mwao!!
Ukitumwa viongozi wa dini unaweza kumpeleka Lusekelo?
Andika tu unavyoweza lakini 'mtuhumiwa 'huyu anatisha.Unakuwa maarufu kuliko chama alafu unakatwa kirahisi. By then kama alikuwa maarufu kuliko chama alivyohama kwa nini hakushinda urais na umaarufu wake? Unyumbu ni shiiida
ukiona mwenzako anakula mavi na wewe utaanza kula kwa vile umeona mwenzako anakula?Mwenyekit wako alienda kusal kwake na kumuhaidi barabara
Kasikilize upya hotuba za viongozi wako wa Lumumba. Mkutano wenu ulikuwa na agenda moja tu. Kukabidhi kijiti. Wangefata hivyo mkutano huo ungekwisha kabla kabisa ya lunch.Hivi unaweza mwogopa mtu alishindwa kilinda kura na kuja na swaga za kuibiwa??
Aliyekuwa anaongea dakika 5 kwenye kampeni na kuwaambia wananchi wakasone hotuba kwenye website
Daaah nacheka tu mi sitaki ugonvi!!
Nenda taratibu. Kuna kushinda na kuna kutangazwa kushinda, hivyo la kwamba hakushinda kiuhalisia mimi na wewe hatujui! Kwanini usisimame katika hoja ya msingi, kwamba kama CCM hakimhofii Lowassa kwanini kinatumia muda mrefu katika mkutano muhimu kama ule kumjadili Lowassa badala ya kujadili mambo yao?
Hebu tafakari kwanza kikao cha juu kama NEC kumuimbia mwenyekiti wao "tunaimani na Lowassa" inaleta maana gani?Unakuwa maarufu kuliko chama alafu unakatwa kirahisi. By then kama alikuwa maarufu kuliko chama alivyohama kwa nini hakushinda urais na umaarufu wake? Unyumbu ni shiiida
Ameingia kwenye historia ya dunia.....kutaka kuvunja kabisa chama cha mang'ombe sababu alikuwa maarufu kuliko chama!! Hawatamsahau maishani mwao!!
Ni kweli kabisa CCM haiwezi kumsahau Lowassa. Ni kama vile Mungu na malaika hawawezi kumsahau Ibilisi aliyetaka kuchukua utawala wa MunguAmeingia kwenye historia ya dunia.....kutaka kuvunja kabisa chama cha mang'ombe sababu alikuwa maarufu kuliko chama!! Hawatamsahau maishani mwao!!
Mzee wa upako na Askofu Gwajima nawakubali sana...sio wanafiki hata kidogo.Asaema uchaguzi umekwisha.
Awashangaa CCM kumpiga vijembe.
Asema wanamuogopa na ni tishio kwa CCM
Chanzo: TanzaniaDaima
Nashukuru viongozi wa dini wameanza kusema ukweli na kuwatolea uvivu CCM na hii ni aibu kubwa kwao.
Nashukuru pia habari hii imeripotiwa na magazeti mengi tu(imepewa uzito wa kutosha na magazeti mengi).
Kama CCM hawamgwayi Edo kwanini hawaishi kumtajataja? Kwanini wanaweweseka kila siku?Unakuwa maarufu kuliko chama alafu unakatwa kirahisi. By then kama alikuwa maarufu kuliko chama alivyohama kwa nini hakushinda urais na umaarufu wake? Unyumbu ni shiiida