Mzee wa miaka 60 amuoa mwanae wa kiume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee wa miaka 60 amuoa mwanae wa kiume

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MziziMkavu, Nov 19, 2009.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Nov 19, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  <table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left" bgcolor="#cccccc"><table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td class="news1">

  </td> <td class="news1" align="right" width="150">Amani</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="morenews" align="left" bgcolor="#f3f3f3" valign="top"><!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd--> Tukio hilo la ajabu na kuhuzunisha, lilitokea usiku wa manane wa Juni 26, mwaka huu ndani ya nyumba anayoishi mzee huyo aliyefiwa na mkewe miaka kadhaa iliyopita.

  Chanzo chetu cha habari kinachoishi jirani na nyumba ya mzee Hassani ambaye anaishi chumba kimoja na mwanaye aliyemlawiti (jina kapuni) kilidai kuwa, kumekuwapo na mazingira yanayoashiria kwamba mtuhumiwa amekuwa na desturi ya kumwingilia mtoto wake kila mara.

  Ilielezwa na baadhi ya majirani kwamba, kijana huyo anayekadiriwa kuwa na miaka 16 amekuwa akipiga kilele usiku akilalamika kuumia, lakini kutokana na ugonjwa wa kifafa unaomsumbua mtoto huyo wamekuwa wakimpuuza.

  “Kijana mwenyewe ana matatizo ya ugonjwa wa kifafa, usiku amekuwa akipiga kilele kwamba anaumia, lakini wengi tulikuwa tukidhani ugonjwa unamsumbua nyakati hizo za usiku.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->“Tuliendelea kuamini hivyo hadi juzi (Alhamis iliyopita) mmoja wetu alipotoka kuchungulia dirishani na kumkuta mzee huyo akimwingilia mwanaye aliyekuwa akilia kwa wakati huo,” kilisema chanzo chetu ambacho kinahifadhiwa jina.

  Baada ya kubaini kuwa mtoto huyo anafanyiwa kitu mbaya usiku na baba yake, watu wengi ‘waligwaya’ kumvamia mzee Hassan kwa vile wanamhusisha na imani za kishirikina.

  Hata hivyo, kulipopambazuka mmoja kati ya majirani wa mzee huyo aliwasiliana na polisi ambao walitinga nyumbani kwa mtuhumiwa kikamilifu na kufanikiwa kumtia mbaroni.

  Mwandishi wetu alifanikiwa kufanya mahojiano na kijana anayedaiwa kulawitiwa na baba yake mzazi ambapo alikiri kufanyiwa unyama huo kila mara.

  “Tangu amefariki mama yangu baba amekuwa akiniingilia kimwili nyakati za usiku na mara nyingine mchana huniambia twende mto Morogoro tukaoge.

  “Tukifika huko ananivua nguo na kunifanyia hivyo. Huwa naumia lakini nashindwa la kufanya kwa vile amekuwa akiniambia nisimwambie mtu,” alisema kijana huyo mbele ya Afisa Mtendaji wa Kata ya Mji Mpya, Bi. Pili Msiku aliyekuwepo eneo la tukio sambamba na polisi.

  Kwa upande wake mzee Salumu alipoulizwa kuhusu kumfanyia unyama huo mwanaye alikana kumlawiti na kudai kwamba, hiyo ni njama ya jirani zake za kutaka kumchafua.

  “Siwezi kumlawiti mtoto wangu, majirani zangu wananisingizia,” alisema mzee Salumu huku akimwelezea mwanaye kama mtu mlemavu wa akili asiyeweza kupambanua mambo vizuri.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->Aidha, wakati polisi wakimpekuwa mzee huyo walimkuta na hirizi tano, mbili akiwa amezivaa mguu wa kulia, moja mguu wa kushoto nyingine kiunoni na moja juu ya mkono wa kulia.

  Hadi tunakwenda mtamboni mzee huyo alikuwa akishikiliwa na jeshi la polisi waliokuwa wakiendelea na uchunguzi wa tukio hilo la aibu.

  http://www.globalpublisherstz.com/2008/07/03/mzee_wa_miaka_60_amuoa_mwanae_wa_kiume.html  </td></tr></tbody></table>
   
Loading...