Fatma Bawazir
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 491
- 180
Watania weye, eti?Mzee wala hakukosea. Mfano mwanamme anataka kuvuka kwenye mto na kuna mwanamke anaoga (labda ameona nguo zimewekwa kama ishara).
Basi hutakiwa kusema 'hodi wenyewe', na mwanamke hujibu 'e pita wee si utaona ganda tu ndizi wala wenyewe'.