Mzee wa EAC Afariki dunia baada ya purukushani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee wa EAC Afariki dunia baada ya purukushani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mag3, Oct 30, 2008.

 1. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Nimepata habari ya kutatanisha kuwa moja wa wazeee waliolala barabarani amefariki baada ya purukushani na polisi. Naomba mwenye taarifa zaidi na za uhakika atuletee.
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Alikuwa mgonjwa ama misuko suko na wazee wa dola? Kama ni kweli Mungu amrehemu mzee wetu na pole kwa wafiwa. Mzee amekufa kishujaa akidai haki yake
   
 3. Majita

  Majita JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2008
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 606
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Inasikitisha kama ni kweli.Hivi tujiulize kama ni baba au babu yako ukasikia amekufa akifuatilia mafao yake kwenye moja ya misukosuko tungejisikiaje??Hii serikali hii wewe ngoja tu
   
 4. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2008
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mpiga kura dhidi ya CCM katutoka. Mungu umlaze pema peponi, Amen
   
Loading...