Nilikuwa nataka nimuulize hivyo hviyo, maana kama nayemkera ni mwanaume na si mkewe, iweje umkashfu mpk mkewe? Angalau ungeandika ni Mama wa nyumbani .
Pili kama nakukera sanaaaaa, mwite umwambie kuwa hupendi Tabia yake ataacha maana ataona Aibu kujua kuwa mnajua tabia yake.
Tatu Usimuonyeshe Dharau maana Maisha ni Kama Gwaride , Mungu akisema Nyuma geuka wa kwanza anakuwa wa mwisho na wa mwisho anakuwa wakwanza.
simple muekeeni ugolo madirishani tuu halafu ye akija ongeza malav davi utamsikia tu anavyoenda chafya na si unajua huwezi kukukimbia ukipiga chafya?lazima uisikilizie so unamkamaata kiulaiini then usimfanye kitu mwache aende,harudi tena nyumba hiyo