Wanywa pombe, wavuta sigara n.k wapigwe kama ni vizuri!!!!!!!!
Chabo apige mwingine ukasirike wewe!!!!!
unaishi mtaa gani make mi pia napenda sana........
Tunaanza kwanza na ninyi wapiga chabo....!!
Evelyn Salt, ebu rudia tena! Unapenda.....? Sasa sikukaribishi tena Tanga au wasemaje
ha ha ha makosa ya kiuandishi hayo achana nayo!!!!
watu wa dizain hizi wakati mwingine sio chabo ila ni tabia za wizi ' kuna jamaa mmoja pale kigogo dar apumzike sehemu mbaya kwenye banda la nguruwe alikuwa na tabia ya aina hii mwanzo watu walifikiri ni chabo ila wakaja baini kwamba jamaa ni kibaka alianza kwa kutanua nyavu za madirisha ya gest na baadae wanaingiza kile kitu kama neti ya kuchezea mpira wa kikapu wenyewe wanaita air jodan anavuta kama ni simu iko mezania inadumbukizwa mule anavutia dirishani anachukua na suruali kama umetundika mlangoni kuweni nae makini kwa nn asiwe anaangalia x kama ni ufundi?
ha ha ha makosa ya kiuandishi hayo achana nayo!!!!
Evelyn Salt, nikuulize swali la kizushi! Hivi kwa nini ulijiita "salt"!
hata mi huwa napiga chabo ila mwanamke awe na Mata**ko makubwa ndo inanoga zaid
hiyo salt nilimaanisha hiyo!!!!!!!!
Hiyo ipi, basi nitumie Pm kama vipi hutaki kumwaga mchele kadamnasi!
ha ha ha yani hiyo hiyo dawa ya mboga isiowekwa kwenye mboga ndo namaanisha mie!!!!!!
Habari Za Masiku WanaJamvi Wenzangu, Hope Wote Mpo Salama Salmini, Kuna Kitu Kinanitatiza Sana Hapa Mtaani Kwangu, Kuna Jamaa M1 Kwa Makadirio anaumri usiopungua miaka 38 , anaMke Pamoja Na Watoto Watatu, Wa mwisho Yupo Darasa La Saba na wakwanza anamaliza form four this year, ameoa mwanamke wa kichaga ambae ni goli kipa na huyo jamaa ambae ni jirani yangu yeye alikuwa dereva wa daladala kipindi cha nyuma ila kwa sasa ni dalali wa malori ya mchanga, huyu jamaa anaTABIA moja ambayo inanikera hata nikikutana nae natamani hata nimtemee mate....,Cha Kwanza Anachelewa Kulala alafu inapofika Mida Ya Usiku huwa Anadhurura kwenye Nyumba za w2 na kuanza kula chabo wakati watu wamelala, na ameshaonekana mara nyingi akiwa anapiga CHABO , dizaini w2 wanamkimbza na kumpotezea cz ni mtu wa kitaa, Swali langu ni hili, Hivi Hizi Tabia Ni za Kurithi Au Ni LAANA ameachiwa kutoka kwa wazazi wake? kwani nikiangalia naona hakuna anachokosa kama MKE halali wa Ndoa Anae, na familia pia, sio siri huyu Jirani yangu ananitia kichefuchefu , Kuna siku aliwahi kuniomba LIFT nikampotezea hiyo ni kutokana na mamabo yake anayofanya ya kitoto.. Nawasilish
KUWA MTANZANIA NI MOJA YA MAAJABU YA DUNIA.
Good!! hapa preta umetumia bomu.....umemaliza shidaHama huo mtaa wewe ili uondokane nae........